Ninahitaji msaada wa kisheria, nimeshadhulumiwa sana hapa mjini

Ninahitaji msaada wa kisheria, nimeshadhulumiwa sana hapa mjini

Mlayjr

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
525
Reaction score
307
NIMESHAPELEKA PROPOSAL NYINGI SANA KATIKA MAKAMPUNI BINAFSI, TAASISI NA MASHIRIKA YA SERIKALI, LAKINI MAJIBU NINAYOPATA NI "IDEAS ZAKO NZURI BUT HATUNA HELA AU SUBIRI" kinachonisikitisha ni mwisho wa siku unakuta idea zangu wanazitumia kutekeleza majukumu yao ya kazi bila ya mimi mkufaidika kwa chochote , KISHERIA HII IMEKAAJE, NINA LINDA VP IDEAS ZANGU??? ASANTE:help:
 
io sio idea tu ila ni kazi yako kabisa na ni haki yako according to copyright and neighbouring act, s.15, vile vile ukiwa kama mwenye io idea una economic rights and moral rights shown in section 7 and 8, tatizo ni moja ukuwai kuzisajili izo idea at registrar na hata uki wa sue hao infringers you may rewarded damage as compasation tu..
 
io sio idea tu ila ni kazi yako kabisa na ni haki yako according to copyright and neighbouring act, s.15, vile vile ukiwa kama mwenye io idea una economic rights and moral rights shown in section 7 and 8, tatizo ni moja ukuwai kuzisajili izo idea at registrar na hata uki wa sue hao infringers you may rewarded damage as compasation tu...
 
Back
Top Bottom