NIMESHAPELEKA PROPOSAL NYINGI SANA KATIKA MAKAMPUNI BINAFSI, TAASISI NA MASHIRIKA YA SERIKALI, LAKINI MAJIBU NINAYOPATA NI "IDEAS ZAKO NZURI BUT HATUNA HELA AU SUBIRI" kinachonisikitisha ni mwisho wa siku unakuta idea zangu wanazitumia kutekeleza majukumu yao ya kazi bila ya mimi mkufaidika kwa chochote , KISHERIA HII IMEKAAJE, NINA LINDA VP IDEAS ZANGU??? ASANTE:help: