Ninahitaji Mtu wa kulima naye Arusha mjini. Ni eneo zuri + Maji + Pump vipo tayari

Ninahitaji Mtu wa kulima naye Arusha mjini. Ni eneo zuri + Maji + Pump vipo tayari

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
28,916
Reaction score
40,479
Habarini Wadau,

Ninahitaji Mtu wa kulima nae kwa Share katika Eneo la Arusha mjini lenye ukubwa wa Ekari 1 na nusu. Eneo ni zuri sana lenye rutuba na jirani kuna Mto unaopitisha maji.

Pia pumb na roller yake zipo kabisa. Mchango wa huyo Mtu utakuwa ni

- Kulipia mbegu ya zao tutakalotaka kulima.

- Kumtafuta Mtu wa kunyeshea na kusimamia shamba kwa ujumla pamoja na kupiga dawa inapobidi.

Binafsi nipo mbali kidogo ndio maana natafuta partner, Eneo hili linakubali mazao yote yafaayo kulimwa kwa biashara yaani nyanya, vitunguu, karoti, kabichi n.k

Mawasiliano: 0655-946381
 
Back
Top Bottom