Ninahitaji Mume

Ninahitaji Mume

Melodia

Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
8
Reaction score
11
Habari Wana Jf,
Nikiwa na ufahamu kamili na akili timamu ninajitokeza kuweka wazi nia yangu ya kuhitaji mume.Kwa upande wangu Mimi;

- Mkristo
-Miaka 31
-nina mtoto mmoja
-Degree moja
-muwazi na muelewa

Ninayemuhutaji
-awe Mkristo
-mwenye nia ya dhati ya kujenga familia
-Awe muwazi
-umri kuanzia 35-45

Aliye tayari akaribie PM.kwa lugha ya malkia wanasema you are warmly welcomed.
 
Hivi nawashangaa sana! Mnatafuta wenza wakati PM mnazifunga hii ni nini? Hata hii kitu niliiona kwa mkongwe kama Atoto . Mnatania tu au mpo serious?
 
Umri umenikosesha wife material!
 
Awamu hii naona wazee tumekumbukwa! Haya ufanye kunitafuta mwenyewe kabla sijakutafuta. Ila ujiandae tu kuwa bi mdogo! Kwa huu umri wangu ni ngumu sana kuishi bila mke.
 
Nipe miaka 10 nitakua nimefikisha umri unaohitaji mkuu, tutafunga ndoa.[emoji3526]
 
Back
Top Bottom