Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

Yeah sure kama shark tank.

Sent from my 21051182G using JamiiForums mobile app
 
Nilitaka kuuliza hili suali lakini nimetaka kujua kwanza mtoa 10m nae anashiriki kwenye mauzo au yupo tu kwa gawio?.
Kwenye mauzo tunatumia system ambayo ina manage kila kitu kuanzia stock hadi revenue (utaweza ku log in na kuangalia mwenendo wa biashara)

Kwa sasa hatuhitaji fulltime accountant biashara bado ipo kwenye growth stage hivyo tunaangalia namna ya kupunguza baadhi ya gharama huku tukiendelea kukua
 
Biashara imeanza from scratch kabisa nimeweka uhai wa miaka miwili kwani ndipo rasmi nilipokamilisha usajili na kutambulika kisheria kuwa nafanya biashara hii


Financial reports zilizokamili ni za kuanzia mwaka 2022 to date
 
Asante kwa ufafanuzi wako. Ningekuja kuinvest lakini 10% ndogo sana. Kwa 30% baada ya kujiridhisha annual report ilivyo basi tungeliongea.
 
I see a future Billionaire.
Good work.
Congrats.
 
Hongera kwa Kazi nzuri. Kama unahitaji Vifungashio vya kisasa kwa ajili ya Lotions, Jars za mafuta ya mgando na Chupa za Shampoo tunaweza kufanya Biashara. Naweza kukutumia samples pia iwapo utahitaji.

Asante.
 
Preference shareholder (though dividend policy inakataa, kwa sababu Yeye anakuea entitled to a fixed portion of dividend)
 
Niliuliza hivyo kwa sababu ulisema biashara yako yote ina thamani ya 20m. Kwa hesabu hiyo, 10m ni 50% stake.
 
Preference shareholder (though dividend policy inakataa, kwa sababu Yeye anakuea entitled to a fixed portion of dividend)
Naomba ongeza nyama kidogo mkuu, hapo nimeelezea uhalisia wangu na biashara yangu Kuna some policies sizifahamu kwa mana ndo mara ya kwanza kuhitaji investor
Naomba elimu zaidi itanisaidia Mimi na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…