Ninahitaji office cabinet

Ninahitaji office cabinet

Bexb

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
715
Reaction score
1,619
Habari ya wakati huu wakuu, ninahitaji zile office cabinet ambazo wengine huzitumia kwa kuhifadhia nyaraka muhimu kwa isalama.
Naomba nielekezwe duka lilipo au mawasiliano ya ofisi husika.
Pia ninahitaji projector ya kisasa brand ya Epson ambayo ina uwezo wa kupokea mawimbi toka katika computer pasipo waya yaani wireless.
Mawasiliano yangu ya WhatsApp ni 0755963775
 
Back
Top Bottom