Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Habari zenu?
Ninahitaji kununua rimoti ya King'amuzi cha Startimes iwe iko kwenye hali nzuri na Mtungi wa gesi ya kupikia wa kilo 6.
Naomba kwa mwenye navyo aniPM.
Napatikana Arusha mjini.
Asante kwa wote.!
Jiko au
hilo bomu utapiga nchi gani?
unahitaji mtungi wa gesi au jiko zima na mtungi wake?
kuhusu remote ya startime onana na mathematics atakusaidia
Rimoti si ukanunue mpya shillingi 5000 tu
Nilikuwa ninahitaji mtungi mtupu ila tayari nimehspata.Bado nahitaji rimoti ya Startimes,mwenye nayo anijuze.
Asanteni.