Ninahitaji ufahamu wa jinsi ya kuchapisha vitabu

Ninahitaji ufahamu wa jinsi ya kuchapisha vitabu

Ngwananzengo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,911
Reaction score
1,315
Kitaaluma mimi ni mhasibu, ninakipaji cha utunzi wa liwaya na uandishi wa vitabu. Ninauwezo mkubwa wa kuandika vitabu vya kumsaidia mtu kufikiri kwa mantiki na kumfanya ajitambue, ninaomba kufahamishwa nifanye nini ili niweze kutoa/kuchapa vitabu maana kwa sasa ninamiswada iliyo tayari. Pia ninao uwezo mkubwa katika masuala ya uzungumzaji, nipo tayari kushirikiana na yeyote kwa lengo na nia ya kujenga jamii.
 
Back
Top Bottom