ni Mradi mzuri na Location ni amazing ila bi=ei zake sio rafikiNani anajua mji wa Fumba town. Wana tovuti hapa http://www.fumba.town
Mnajua kama kampuni hiyo inaweza kuaminika au hapana ?
Nani ameshanunua nyumba huko ?
ni Mradi mzuri na Location ni amazing ila bi=ei zake sio rafiki
vyoteeBei ya nyumba au appartments ?
Unaongelea zile za wajerumani au bakhresa??
Zile za wajerumani bei zake at least zinaeleweka.Zile za wajerumani. Huyu ya bakhresa, ninahisi shaka kwa sababu hawafanyi matangazo yoyote
Hivi na zile pia zina only one bedroom?Zile za wajerumani bei zake at least zinaeleweka.
Whatever the price watakayokupa you will pay it on 6 installments. Nliwahi kutaka kuchkua 1 mwaka huu mwanzoni wakaniambia nilipe in 4 installments in a year and that put me off.
Sasa hivi wameongeza installments zimefika 6, may be wanaweza wakaongeza zikafika 8 ukiongea nao na ikifika hapo may be Sisi wanyonge tutaweza.
Nyumba ya bei ya chini ambayo ni 1 bedroom inagharimu about 50M, you will have to pay 25% on contract signing na hapo watakukabidhi funguo. Hiyo 25% is about 12.5M and the remaining 37.5M utailipa kwa installments 7 kwa miaka let's say miwili. That means kila miezi mitatu upeleke about 5.4M
Mimi nimeshindwa ila najua watu kama cute b wanaweza hizi projects
I hope nimesaidia kiasi.
I dropped it coz installments zilikuwa unalipa ndani ya muda mfupi.Hivi na zile pia zina only one bedroom?
Uli drop the plan kumbe, nikajua ulichukua na mimi nije kuchukua jirani yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].I dropped it coz installments zilikuwa unalipa ndani ya muda mfupi.
Ya nini kutafuta matatizo na TRA?? Nkaja nkaambiwa fisadi???
Hahahahahaahhhhahaahah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa kama sio fisadi uliogopa nini.