zantel wana katangazo chao...
duniiiiaaa hiiiii nimwachie naaaaaniiii
ugali huuu mtamu sikifaniiiiii
ukimwi huuu nimpatie naaaniiiii
mkwara wa kujiuuua nimpige naaniii
na mbunye hii ataitaka naaaniiii ........
mwisho wa kunukuu .
USHAURI
fanya maarifa umchape nao
Possibility kubwa, inawezekana anakupima tu akili ili ajue km unampenda kwa dhati. Chukua muda, utulie, jitahidi kuwa karibu naye ila usijihusishe naye kimapenzi,baada ya kitambo hali mliyokuwa nayo kwa ss itapita, hapo utachukua maamuzi yanayofaa km kw rafiki wa kawaida na kutafuta mpenzi au kuendelea naye ikiwa utabaini alikuwa anakupima tu.