Siku za ajabu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 1,369
- 986
Jamani wana jamii mimi nina ujuzi wa kutengeneza sabuni ainazote na shampoo,mishumaa na vingine kwa sasa nataka kujikita na sabuni na shampoo,sasa nipo busy na kazi nyingine nahitaji mtu aliye tayari tufanye kazi tutafte soko halafu tunagawana kinachopatikana kwa makubaliana karibuni nipo daslam waweza pm au vyovyote nikupe mawasiliano 0717215506.