Ninahitaji watu wenye idea na video production watakaokuwa tayari kujitolea kufanya project free ila kwa malengo

Umetoa somo mujarabu kabisa, bongo sa hivi naona kuna watu wanakuja vizuri kuliko huyu jamaa anavyowachukulia!
 
kumbe unaweza kwa kuongea sasa kama kwa kuongea na kwakuimagine Mimi naweza kupigana na Antony Joshua na nikampiga.

usiwe keyboard warrior.
Amesahau, hii kazi si ya kitoto, ukianza kufanya ndo utajua kumbe hujui!
 
Wadau kila mtu yuko na imani yake kuna mwingine anajiamini kwa anachokifikiria pasipokujua ugumu wa kukitoa kichwani na kukileta kwa hadhira tukione ila sio vibaya kujiamini hivyo tusiwe wakosoaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…