HahahahahahhhhVinadumu kutokana na ela yako kama manufacture Warranty ni one year unatakiwa after a year utoe ukaweke vipya.
πππVinadumu kutokana na ela yako kama manufacture Warranty ni one year unatakiwa after a year utoe ukaweke vipya.
aiseeKama mavaz tu toka China wameshindwa simamia wataweza hvyo vigae?
Mfanyakaz wa tbs anavaa kadet ya kariakoo ambayo ukifua TU inapauka analalamika na yeye wachina wanauza nguo feki Sasa Kama yeye analalamika mfanyakaz wa tbs je mm nikalalamike wapi?
Bongo professionalism n zeroooo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
TBS wala msijichoshe, jawabu hili hapaVinadumu kutokana na ela yako kama manufacture Warranty ni one year unatakiwa after a year utoe ukaweke vipya.