Leo nilishuhudia mechi kati ya timu ya Yanga na Lipuli. Bao lililofungwa Yanga hawakustahili kufungwa kama kweli wangekuwa na kipa mwenye uwezo. Mpira umepigwa umbali wa mita 25 na kwenda moja kwa moja goilini. Kwa kweli Yanga hawana kipa mwenye uwezo ni vyema sasa wakamtafuta kipa mwenye uwezo badala ya Kakolanya.
Mwisho niwape HONGERA sana timu ya Simba kwa kuweza kufuzu robo fainali ya CAF. Msemo wa Manara Do or die kweli umefanya kazi katika uwanja wa nyumbani.
Mwisho niwape HONGERA sana timu ya Simba kwa kuweza kufuzu robo fainali ya CAF. Msemo wa Manara Do or die kweli umefanya kazi katika uwanja wa nyumbani.