Pia nkana walifungwa goli kama hilo na mkudeJapo mm ni simba ila sikubaliani na wew kwamba tatizo ni kindoki kwenye lile goli. Kama utakumbuka curtois kafungwa goli lillelile na ajax juzi kati hapo. Kautazame vizuri mpira ulivyokuwa unaelekea golini, utagundua kuwa unatakiwa kumsifia mpigaji na sio kumlaumu kindoki.
Pia wakati mpira unapigwa akili ya kindoki ilikuwa keamba mpira utapigwa cross ili watu wamalizie na ndio maana alikaa upande ambao mpira unatokea, na mpigaji allilijua hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemalizia vibay.Ile freekick mpira kadiri ulivokua una-approach ulikua unazunguka kwa speed labda,air resistance ama jinsi ulivopigwa sijui.Ila kindoki aliuona akasogea lakini waaaap.Urefu wa kipa na ushaapu ungesaidia.Mwisho hongera Haruna Shamte kwan sio Freekick ya kwanza ya namna ile.Japo mm ni simba ila sikubaliani na wew kwamba tatizo ni kindoki kwenye lile goli. Kama utakumbuka curtois kafungwa goli lillelile na ajax juzi kati hapo. Kautazame vizuri mpira ulivyokuwa unaelekea golini, utagundua kuwa unatakiwa kumsifia mpigaji na sio kumlaumu kindoki.
Pia wakati mpira unapigwa akili ya kindoki ilikuwa keamba mpira utapigwa cross ili watu wamalizie na ndio maana alikaa upande ambao mpira unatokea, na mpigaji allilijua hilo
Sent using Jamii Forums mobile app