Retired Sister
Senior Member
- Jan 11, 2013
- 182
- 224
nakula tu kawaida usiku .chakula kidogo au matunda inategemea. kujamba kunaanza kabla ya kupata haja kubwa.ninashtuliwa na vijambo maana vinakuwa vikubwa mno .nadhani nitakuwa najamba hata usingiziniMpangilio wa chakula chako ukoje? Ni kawaida kujamba kabla ya kupata choo kikubwa.
ni shida sana naogopa hata kulala kwa mtuHaa ase tatizo lako na mie ninalo ase, na sijui ni nini, ila nahisi ni vidonda vya tumbo
mwisho wangu kula ni saa kumi na mbili jioni na nakula tu matunda ila bado hali ni ile ileEpuka kula chakula I mean heavy food hasa inapovuka saa tatu ya usiku, jitahidi kula matunda kwa wingi hasa unapokwenda kulala ili kuondoa tatizo hilo! Ulaji wa Chakula kizito kama ugali au wali pindi inapovuka saa tatu ya usiku hakimeng'enywi na badala yake kinabaki kama sumu tumboni that's why unajamba sana mkuu!
Jaribu kumeza vidonge vya magnesium virakusaidia kupunguza gesi mwiliniNaombeni msaada wa kitabibu nina tatizo la kujamba sana wakati wa kulala sanasana kipindi cha alfajiri.
sina shida yoyote ya tumbo ila asubuhi nakuwa nalipuka haswa.naombeni ushauri
vingine inabidi nisindikize mengine yanalipuka tu yenyewe anganiUnashindwa kuzuia ushuzi au unajiachia tu , Maana kama unajamba bila kutegemea yaani unashtuka upepo ushatoka hapo kuna tatizo lakini kama unakuja wewe unauachia na kuuongezea speed ili usijaze gesi chafu tumboni wala hakuna shida.
Na kama unaishi peke hakuna unayemsumbua wewe achia tu hiyo mishuzi.
Naombeni msaada wa kitabibu nina tatizo la kujamba sana wakati wa kulala sanasana kipindi cha alfajiri.
sina shida yoyote ya tumbo ila asubuhi nakuwa nalipuka haswa.naombeni ushauri
sawa nashukuru kwa ushauri.kwanini typhoid tatizo ni la miaka hili ningekuwa na typhoid ningekaa miaka yote?Jaribu kumeza vidonge vya magnesium virakusaidia kupunguza gesi mwilini
Halafu nenda ukapime typhoid.
naishi nae hana shida hata yeye ana tatizo .shida ni kwa kachanga ketuHahahaha!!!
Nenda kapate ushauri kwa daktari maana ukianza kuishi na mwenzako utampa wakati mgumu.
nina kilo 86Una mwili mkubwa,I mean weight yako ni ngapi,..
nina kilo 86
narudia tena nenda kapime typhoid .sawa nashukuru kwa ushauri.kwanini typhoid tatizo ni la miaka hili ningekuwa na typhoid ningekaa miaka yote?
naomba unielezeMatatizo kama haya yako yawezekana ni tumbo kujaa gesi jaribu magnesium pia nahisi una brain disorder kidogo katika mambo haya kisaikolojia umemubali tatizo lako jaribu kumuona Doctor
choo kikubwa hakisumbui kabisa ,hata mchana sina shida yoyote ya tumbo inapofika mapambazuko tu ndo milipukonarudia tena nenda kapime typhoid .
Halafu kuhusu kupata choo kikubwa hakisumbui ?