Ninajivunia kuwa Mtanzania

Ninajivunia kuwa Mtanzania

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
1. Amani,
2. Uongozi Bora,
3. Siasa Safi,
4. Demokrasia.

NB: nadra Sana kupata tunu hizi Kwa nchi nyingi Kusini MWA jangwa la Sahara. Mfano Somali, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Burundi, Rwanda, Niger, Mali, Burkina Faso n.k
 
1. Amani,
2. Uongozi Bora,
3. Siasa Safi,
4. Demokrasia.

NB: nadra Sana kupata tunu hizi Kwa nchi nyingi Kusini MWA jangwa la Sahara. Mfano Burundi, Rwanda, Niger, Mali, Burkina Faso n.k
Umezaliwa mwaka gani?
 
1. Amani,
2. Uongozi Bora,
3. Siasa Safi,
4. Demokrasia.

NB: nadra Sana kupata tunu hizi Kwa nchi nyingi Kusini MWA jangwa la Sahara. Mfano Burundi, Rwanda, Niger, Mali, Burkina Faso n.k

Mkuu kuhusu kujivunia nakuunga mkono kwa asilimia zote ila kusema hizo tunu hazipo kwenye nchi nyingi kusini mwa jangwa la Sahara sio kweli.

Mkuu ukweli ni kwamba kuna nchi chache sana zenye misuko suko kwa sasa kusini mwa jangwa la Sahara. Mathalan, Somali, DRC Congo. Central Afrika na sehemu kidogo ya Msumbiji!

Burundi na Rwanda ulizozitaja hazina misuko suko kabisa kwa sasa. Kuhusu Mali, Niger na Burkinabe wananchi wenyewe wameamua kubadili uongozi wao waliouona hauwafai.

Tujifunze kusema ukweli kwa faida ya wasomaji wengine na vizazi vijaavyo!
 
1. Amani,
2. Uongozi Bora,
3. Siasa Safi,
4. Demokrasia.

NB: nadra Sana kupata tunu hizi Kwa nchi nyingi Kusini MWA jangwa la Sahara. Mfano Burundi, Rwanda, Niger, Mali, Burkina Faso n.k
Kweli TZ bado tuko nyuma sana. Mleta mada unajiona fahari kujilinganisha na hizo nchi ambazo kutwa ni mapigano ya wenyewe kwa wenyewe ??
Mleta mada unajiona bora kati ya nchi duni, hii inaamnisha hata TZ iko katika rank moja na hizo Nchi.
 
Labda niweke rekodi sawa, najivunia kuwa mwanachama wa CCM
 
Back
Top Bottom