Ninakerwa sana tena mno na wanawake wanaojishaua maofisini wanapotembelewa na wateja wao

Dumelambegu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,052
Reaction score
257
Jamani sijui nanyi ni wahanga wa wanawake wanaojishaua wanapotembelewa na wageni maofisini mwao. Frankly speaking, wanawake wamezidi wanajishaua mpaka inakuwa kero. Kwa kweli ni ofisi chache sana mijini ambazo wanawake hususani masecretaries na watumishi wengine wa kike wanaopokea wageni kwa nyuso za bashasha. Ajabu ni kwamba mgeni akiwa mwanamke kujishaua ndiyo kunakuwa mara dufu. Hali hii ni tofauti kabisa na wanaume. Hata kama wapo wanaume pia wenye tabia hiyo lakini wanawake ndiyo wengi zaidi. Jamani wanawake acheni tabia hiyo kwani mnaowafanyia hivyo vituko ndiyo wateja wenu wanaowaweka hapo ofisini. Samahani, wanawake ambao hawana tabia hiyo.
 
nasema tena sipendi ile mbaya praaaaaaaaaahh yaani nawatapika wote wenye tabia hii..
 
Bora useme, hata mie wananiboa sana, dawa yao ni kuwawakia tu!! hakuna kuwabembeleza!! sura ya mbuzi mwanzo mwisho ndo dawa yao.
 
Asilimia kubwa wametembea na mabosi wao, so wanaamini hata kama angejibu vp bado ana kazi, kwa mtazamo wangu mabosi ndo wanatakiwa wajirekebishe kwanza, wawaheshimu masekretari wao ili kazi ichukuliwe kama kazi.
 
Ni tabia ya kishamba tu mtu ukijiamini mda wote huwezi kuwa na tabia ya kifedhuli km hiyo..
 
Kweli mkuu,messange sent,huwa inakuwaga kazi kweli
 
mimi kama mwanamke,lakini huwa sipendi kuhudumiwa na wanawake wenzangu.nahisi baadhi yao huwa kama na dharau fulani.
 
ndetichia banaa wanawake majivuno sana wanamaproblem sana
 
Mi nakerwa na wanawake wanajishaua kwa mali walizonazo,,hili hali mali hizo wamezipata kwa kufanyiwa ufuska wa kuliwa t.
 
Kwa kweli hii si nzuri na haipendezi kwa sisi wadada! Kwa kweli ni aibu! Kama unataka kujishauwa, si ubaki nyumbani kwako, wanaokuja huko ndio ujishauwe! Na wengine wanakera kufa ni wasichana wa saloon, wanajishauwa na kusema watu wao wenyewe hawana lolote! In public office, this is unacceptable!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…