Ninakiwanja na leseni ya madini (dhahabu) nipo kilindi nahitaji muwekezaji wadau

MAKOLA

Member
Joined
Jun 5, 2010
Posts
46
Reaction score
16
wadau nina leseni ya kuchimba madini "mining license" katika kitalu changu cha madini, natafuta muwekezaji ambaye nitaingia nae ubia, na kama ana dau la kutosha mi namwachia kitalu cha madini. Nitsaidieni nipate mwekezaji. Nitashukuru kwa msaada
 
Sasa mkuu hii ndo breaking news?

Maelezo hayajitoshelezi hata kidogo, Mf madini ya aina gani?ukubwa wa kitalu?kiko wapi?. nahdani ungeweka hayo maelezo wenye nia wanaweza shawishika

All the best
 
Predigo son. Kiwanja kipo wilaya kilindi, kina hekta 10 au ekari 25, madini ni ya dhahabu. Then n - handsome. Nipe adress ya kanada ili nitume cv mtu wangu.
 
AHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA Briking new bwanaaaaa za mida hii
 
Predigo son. Kiwanja kipo wilaya kilindi, kina hekta 10 au ekari 25, madini ni ya dhahabu. Then n - handsome. Nipe adress ya kanada ili nitume cv mtu wangu.

Mkuu ulitaka usiliwe chimba mwenyewe ufaidike.Ukiingiza muwekezaji umekwenda na maji.
Swali la kwanza atakuuliza kuna madini kiasi gani chini-Tshs bilioni 1,6 au 30
Pili gharama ambazo wewe umetumia kiasi gani na je una fedha za kuwekeza?(your level of equity in investment)
Tatu Kama jibu la kwanza ni bil 30 na kuendelea na jibu la pili ni milioni mbili au tatu basi inakuwa rahisi kukufidia gharama zako mhata mara tatu ili wakubwa wale.
NB Idara ya madini wakifahamu unatafuta mwekezaji watauza hiyo sehemu wenyewe.
 
JF premium Member Msanii hajiona hii dili
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…