y-n
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,389
- 2,510
Habarini wanajamii.
Ninakuja kwenu kuleta hitaji langu la kupata mwenza aliye tayari kutulia na mume.
SIFA.
Dini:Yoyote.
UMRI:kuanzia 30 yrs hadi 38.
RANGI:Yoyote black napenda zaidi.
AJIRA:Akiwa muajiriwa itakuwa vzr sana hasa askari polisi,au sekta yoyote ile,hata akijiajiri pia sio mbaya.
ELIMU..At least form 4/6
Akiwa na mtoto siyo mbaya au asipokuwa nae sawa pia.
Awe tayari kupima afya.
SIFA ZANGU.
Umri:35 YRS
Dini..Mkristo.
Elimu.Chuo.
Kazi..Nmejiajiri.
Nina watoto wawili.
HIV -Ve
Nipo tayari kupima.
Kwa aliye tayari karibu PM
Sent using Jamii Forums mobile app