Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
siamini kama atakuja. Akija swali la mwanzo. Necta umekifanya kigoda cha kanisa kwa kuwafelisha waislam na kuwapendelea wakiristo. Swali kwanini umeamua kutumia njia kwa watz wenzio?
Ndugu yangu, tuwe wazi wenzetu wanawekeza katika elimu. Sisi tumekalia kuoa wake lukuki we unafikiri kufeli kwa waislam wenzetu Dr mwenzangu anahusika, hapana. Baadhi ya wanafunzi na wazazi hawatilii mkazo elimu. Acha baraza lifanye kazi yake.
akija ndalichako naamini baadhi ya user watapigwa ban. Wengine tunausongo wa kufelishwa watoto wetu kwa imani zao za kidini