Una uhakika wa kukugawia gawio lako wako hapa JF kwenye Jukwaa la Siasa?Niliwekeza kwenye Samia Insfrastructure Bond na maelekezo ya uwekezaji ni kuwa kila mwekezaji atawekewa gawio lake kila baada ya miezi mitatu. Miezi mitatu tayari imefika na hata kupita.
Ninaomba niwekewe gawio langu kama uwekezaji ulivyoelekeza.
Nawasilisha.
Mmeshamuingiza king Kijana wa kimasikiniUna uhakika wa kukugawia gawio lako wako hapa JF kwenye Jukwaa la Siasa?
Utapata wiki hii au ijayo mwanzoni. Haitazidi tarehe 17 JulyNiliwekeza kwenye Samia Insfrastructure Bond na maelekezo ya uwekezaji ni kuwa kila mwekezaji atawekewa gawio lake kila baada ya miezi mitatu. Miezi mitatu tayari imefika na hata kupita.
Ninaomba niwekewe gawio langu kama uwekezaji ulivyoelekeza.
Nawasilisha.
Ile id nyingine ulikua ban?"No one shall be uncircumcised in a land where the knife never sleeps."