.NINALIOGOPA SANA JAMBO
HILI: Amini usiamini, lakini huu
ndio ukweli wenye uchungu!
Hakuna jambo ninalolihofia zaidi
ktk maisha ya ndoa kama
kusalitiwa Na ndio linitialo khofu kuoa! Hiyo
inatosha kuwa silaha ya kuubomoa
moyo wangu, kuiteketeza
nafsi yangu na kuikatili ndoa
yangu na kusambaratisha kabisa!
baki mseja, amini usiamini bado kuna watu waaminifu inategemea unaoa mtu wa aina gani.
Ajari zinatokea kwa kupangwa au kwa bahati mbaya. Omba nawe utapewa...ukiendelea kuogopa usijari maana utakufa siku si zako.
Hilo la msingi sana ila kumpata ndio tatizo!!leo kaka yangu mkubwa chozi limemtoka kwaajili ya hilo jambo!!
Usiogope kaka, haya maisha ukiwa muoga muoga hutofika popote. Sio tu kwenye mahusiano, hata siasa na biashara hazihitaji uoga. Chagua mtakayependana. Si wanawake wote ni wasaliti.
Unachotakiwa kuogopa ni kujuwa kama unasalitiwa...NINALIOGOPA SANA JAMBO
HILI: Amini usiamini, lakini huu
ndio ukweli wenye uchungu!
Hakuna jambo ninalolihofia zaidi
ktk maisha ya ndoa kama
kusalitiwa Na ndio linitialo khofu kuoa! Hiyo
inatosha kuwa silaha ya kuubomoa
moyo wangu, kuiteketeza
nafsi yangu na kuikatili ndoa
yangu na kusambaratisha kabisa!
.
Nenda upadre