MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
millardayo Mtandao wa Kupinga Rushwa ya Ngono wenye jumla ya Mashirika zaidi ya 200, umetoa tamko leo August 31,2024 la kupinga marekebisho yanayopendekezwa kwenye Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, hususan kifungu 10(b) wakisema marekebisho hayo yanahatarisha juhudi za kupambana na rushwa ya ngono kwa kumlenga Mwathirika badala ya kumwajibisha Mhalifu.
Taarifa iliyotolewa na Rebeca Gyumi kwa niaba ya Mtandao huo imesema "Kifungu 10(b) kinahalalisha kuendeleza matumizi mabaya ya Mamlaka kwa njia ya kumhukumu Mhanga wa rushwa ya ngono kama mbinu ya kuwanyamazisha na kuzima moto wa mapambano dhidi ya rushwa ya ngono"
"Wanamtandao tunaomba tuwatumie salamu Wabunge wetu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, siku ya Jumatatu, September 2,2024 muswada huu unategemewa kusomwa kwa ajili ya kupitishwa na Bunge, tunaomba tuwakumbushe Wabunge jukumu kubwa walilonalo la kuhakikisha muswada huu haupiti na wanasimamia maslahi mapana ya Wahanga wa rushwa ya ngono"
"Kifungu hiki kinageuza hali halisi kwa kumfanya Mwathirika wa rushwa ya ngono kuwa Mhalifu badala ya kumlinda, hii ni kinyume na mantiki ya kimaadili na kanuni za haki, kifungu cha 25 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya mwaka 2007 kinajitosheleza na hakihitaji marekebisho yoyote, tunawataka wanaoendelea kupigia debe mabadiliko haya wasipotoshe umma kwa kuchanganya dhana ya rushwa ya ngono na biashara ya ngono na hivyo kutumia mantiki ya 'mtoa rushwa na mpokea rushwa, mshawishi na anaye shawishika
===
Wanachopigania kina Rebeca Gyumi sio dhidi ya rushwa ya ngono bali wanapambana dhidi ya wanaume.
Nia yao no ovu kutaka kuona mwanaume anakandamizwa kisheria kadiri iwezekanavyo. Muswada unataka mtoa na mpokea wawajibike ila wanaharakati uchwara wanataka sheria imhukumu mwanaume pekee huku mwanamke akiwa salama hata kama yeye ndo chanzo.
RUSHWA ILI IWE RUSHWA LAZIMA AWEPO MPOKEAJI NA MTOAJI. Hao wanawake ili wawe salama wawe wanakataa kutoa rushwa na kuripoti kunakohusika.
Bunge watendeeni watanzania haki kwa kuwapuuza kina Gyumi na wanaharakati wenzake wenye nia ovu dhid ya wanaume wa Tanzania. Pitisheni huo muswada unaotaka pande zote ziwajibike. Imagine toto kama Uwoya linaku-seduce likupe rushwa ya ngono unaanzaje KUKATAA?