<br / lakn nikifaa.nakipenda.but hapo penye ndom pananitisha
Ahirisha mwambie wewe uko nyotani! LOL
Mwambie unatumia dawa hivyo unamjali ndio maana hutaki kumuambukiza! Bora akukimbie kuliko kukuweka katika risk!

<br / nimemuuliza eti ananiambia ananiamin na ananipenda.kwa kuwa ananipenda sana bas hatak kula pip na maganda.lakn bado hajanikuna naogopa sana wakuu lakn nampenda sanambona haujasema kwanini anakataa? may be anasababu...vijana bwana hata kumuuliza why unamuonea aibu....ondoa aibu mkuu. acha mbwembwe

<br / da inawezekana ikawa kwel bomu.ila alinisumbua mpaka akanikubaliaBomu hilo...kuwa makini

<br / ngoja nifanye uchunguzi nikikuta ana ngoma nitakuachia umuchukue lakn kama yupo pouwa humpata hata chembe maana nikifaa ile mbaya nanimesumbuka sana kumpatahuyo ananifaa maana mwenyewe sipendi condom

<br / so hiyo kesho kutwa nisifanye ki2 chochote?Usimtafune kabla ya kupima wewe, mwambie mkapime kwanza akikataa achana nae.

<br / duu hiyo kali.ngoja na mim hiyo kesho kutwa nikafanye hivyo.inawezekana mungu ananilinda anataka nisiangamie mapema.asantenimekumbuka story moja wakat tupo Udsm,kuna mshkaj alimpata demu,sasa wakat washaingia faragha jamaa akachukua jezi zake,dem alimind kichz,akagoma,jamaa akavaa akarud hm!huo ndio ushujaa!na sasa yule demu alishavutaga!kaz kwako mukubwa

<br / sio najipendekeza kaka siunajua mapenz unaweza ukwa crazy ndo maana nimekuja kuomba ushaurNapita tuu hapa. Kwa hali ya sasa mapenzi bila condom na bado unajipendekeza wala kupima hamjapima
Kajilipue kwa mabom ya kabul yakilipuka ukipona poa

<br / nilimtania nikasema unataka kuniangamiza nini?akanuna gafra akasema simuamin

<br / usinzi uko wapi kakaAcha uzinzi.
Ahirisha mwambie wewe uko nyotani! LOL
Mwambie unatumia dawa hivyo unamjali ndio maana hutaki kumuambukiza! Bora akukimbie kuliko kukuweka katika risk!