Jaman nina mpenz wangu mpya ambaye nimemtongoza sio mda na sijawahi kufanya nae mapenz hata siku moja.kuna siku moja 2likuwa sehemu nzuri inayo 2faa kabisa kufanya mapenz lakn 2likubaliana 2sifanye mapenz coz yeye alisema anaelekea mwezin siku chache baadae so hata kuwa tayar kwa kuhofia mimba.Nikamwambia 2fanye tu coz 2ta2mia condom alicho nijibu alisema KAMWE HATOKUJA KUFANYA MAPENZ KWA KUTUMIA CONDOM MAISHANI MWAKE.na mimi SIKO TAYAR KUFANYA MAPENZ BILA CONDOMS.sasa wana jf nifanye nini kumpenda nampenda ila nahofia kwa nin anagoma kufanya na condom.naomben ushauli coz kesho kutwa ndo 2mepanga 2kafanye mapenz na utata ndo huo...

<br / nilimtania nikasema unataka kuniangamiza nini?akanuna gafra akasema simuamin

<br / nimesema anakataa kufanya mapenz na condoms.sijasema anakataa kupima.ngoja nimudokezee about kupima hiyo keshoKweli kama hataki kupima achana nae. Yani hata kama ni hana experience na mapenzi; matangazo yooote ya ukimwi yeye ajaelimika tu? Watu ndio kwanza mmekutana anatumia kigezo gani kujua kuwa wewe ni mzima? Mapenzi yake kwako? Na kama ni tabia yake kujihachia jumla from day one huyo dada ataja ukwaa huo ugonjwa hata kama hana kwa sasa. Angalia kaka bado taifa linakutegemea.

<br / asante kwa ushauri mzuri maana ninampenda vilivyo nitashukuru kama kweli atakuja kuwa ma wifekuna mabinti ambao akimpenda mwanaume kwake anaona condom ni kama kujidhalilisha anahisi unamwona malaya kutembea nae na condom, mabinti kama hao ni wale ambao sio wazoefu wa mapenzi na amejitunz amda mrefu, mchunguze vizuri usianze kumhukumu bila kumfahamu, kisha mkapime kama mara 2 hivi kujiridhisha, utashangaa akaja kuwa mkeo na ngoma ikawa tight u neva know.

<br / lakini nampenda kaka.nanimesumbuka sana kumpata broMiguu kichogoni fasta. Usiuze sura hapo.

<br / lakini nampenda kaka.nanimesumbuka sana kumpata bro[/QUOTE
nenda kamwambie kuhusu kupima ili mle kwa raha zooote! kuna mschana nilishawahi kutana naye yeye alisema kondom hatumii sababu zinamletea fungus!

asanten kwa ushaur wenu mzur wana jf.walioweng wamenishaul nikapime na huyu mpenz wangu.na mim nimeona niushaur mzur so kwakuwa kesho ndo tulipanga 2kafanye mapenz nitaenda na condoms zangu kama kawaida akigoma kufanya bila ndom bas mim sintofanya kamwe.nitakacho mshaur twende ANGAZA.Kila atakacho nijibu basi wana jf nitawajulisha kwa thread nyingine itasema,ALICHONIJIBU.nawapenda sana wana jf kwa ushirikiano wenu ili muniokowe mwana jf mwezenu -@-@-@-@-@-@-@-