Mi nikijana 26yrs,mpenzi wang anasumbliwa na maumivu ya mguu ktk maungio karibu na kikanyagio asawakat wa sikuza zake na wakat wa baridi unavimba.tumekwenda hospt.zaid ya 2 wamepîma lakn awapati tatizo.doct hii hali itakuwa inasabbishwa nanii,na atumienin?