malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Mkuu bonus Kama ipi kwa drivers. Alafu mim huwa siibi hata kipimo changu kipo net haibiwi mtuToa bonus nzuri kwa drivers wa hiace.pia yawezekana Ile ya kwanza inakimbia upepo baadaye ndo mafuta yanakuja. Drivers huwa ni wajanja kujua Kama unaiba ama la.
Mkuu wahudumu wangu wapo poa niwatu wastory wachangamfuCustomer service,kama wahudumu wana nyodo hawaingei vizuri na wateja,unategemea mtu atarudije hapo?
Mkuu kwenye discount natoa kwa bulk mwenye Lita nying at least kuanzia100 maana petrol siunajua inaevaporation nihewa Ile huwa inapoteaweka discount na vizawadi kibao
Broo tafuta watu ambao hawana aibu yani kuna mtu kila atakacho fanya ni comedy watu kama hao huleta wateja wengi,wenye vituko vituko vya kuchekeshaMkuu wahudumu wangu wapo poa niwatu wastory wachangamfu
Sasa ajiri vijana ambaoni zaidi ya comedyMkuu kwenye discount natoa kwa bulk mwenye Lita nying at least kuanzia100 maana petrol siunajua inaevaporation nihewa Ile huwa inapotea
Hao watu ndio changamoto kuwapatabroo tafuta watu ambao hawana aibu yani kuna mtu kila atakacho fanya ni comedy watu kama hao huleta wateja wengi,wenye vituko vituko vya kuchekesha
Hizo service zakumwaga oil wheel alignment zinakua za free auWwka kupima upepo bure na kujaza upepo, weka mtu awe anafuta vioo, lete mafundi kwenye kituo chako kwa ajili ya service km kumwaga oil n.k, wheel alignment, weka kimgahawa kidogo
Nlikuaga nafikiria hii kitu sanasasa ajiri vijana ambaoni zaidi ya comedy
sasa ajiri vijana ambaoni zaidi ya comedyMkuu kwenye discount natoa kwa bulk mwenye Lita nying at least kuanzia100 maana petrol siunajua inaevaporation nihewa Ile huwa inapotea
Hao watu wapo wengi ni wewe tu kuwatafuta cha msingi ukiwapata walipe vinzuriHao watu ndio changamoto kuwapata
Mpe jamaa ushauri...Shida moja kubwa Ni kwamba unaowaomba ushauri humu wengi wao hata biasharaa za million 9 wanazisoma kwenye threads. Wewe mwenyewe na wasiwasi kama una kituo cha mafuta kweli.. naona mengi kwenye game hujayajua"
Joke tu😊
Niulize chochote unachodhani sikijui mzee kwenye game hili...Shida moja kubwa Ni kwamba unaowaomba ushauri humu wengi wao hata biasharaa za million 9 wanazisoma kwenye threads. Wewe mwenyewe na wasiwasi kama una kituo cha mafuta kweli.. naona mengi kwenye game hujayajua"
Joke tu[emoji4]