Elections 2010 Ninampango wa kuchukua Form ya Urais

Elections 2010 Ninampango wa kuchukua Form ya Urais

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Kutokana na fashion iliyozuka hivi karibuni, nami nawasiliana na wapambe wangu ili angalau na mimi nichukue form ya kugombea uraisi wa nchi hii, kwa nia ya kuweka historia na kupata form hiyo, ili niitundike kwenye fremu ya duka langu.
 
Back
Top Bottom