incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Habari wakuu, hapa ninampango wa kutoka Mwanza kwenda DSM na pikipiki aina ya XL kwa ambao walishawai kutoboa route ndefu na toyo tupeane uzoefu na changamoto zake na zipi na ni mambo gani inatakiwa kuzingatia njiani!
Sababu huwa sipendelei usafiri wa public nilishazoea kutumia Gari binafsi ila kwa bahati mbaya Gari langu limepata hitilafu ambayo naona uwezekano wa kuifix na huu usawa wa tozo itanichukua mda kidogo, hebu nipeni uzoefu kwa mliowahi kutoboa na toyo masafa marefu.
Sent using Jamii Forums mobile app