incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Wewe si mlevi! Labda uache kugida njiani, kama una nguo spesho za waendesha pikipiki itakuwa poa kama hauna vaa makoti makubwaaaa, pia nakushauri utumie walau siku nne njianiHabari wakuu, hapa ninampango wa kutoka Mwanza kwenda Dsm na pikipiki aina ya XL kwa ambao walishawai kutoboa route ndefu na toyo tupeane uzoefu na changamoto zake na zipi na ni mambo gani inatakiwa kuzingatia njiani! sababu huwa sipendelei usafiri wa public nilishazoea kutumia Gari binafsi ila kwa bahati mbaya Gari langu limepata hitilafu ambayo naona uwezekano wa kuifix na huu usawa wa tozo itanichukua mda kidogo, hebu nipeni uzoefu kwa mliowahi kutoboa na toyo masafa marefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh ulitumia siku ngapiUnafika tena bila shida ila kna vitu vya kuzingatia je chombo unacho safilia kipo salama kina sevice
ya kutosha nilisha wai kutoka chalinze adi kigoma kwa boxer 150 ila ina bidi uwe full na0kama afya mbovu kaa mbali
Mwanza -Dar ni 1050km600km
Angalia afya ya mwili na toyo
Acha wehu, nahizo pombe zako.si utafia njiani?Habari wakuu, hapa ninampango wa kutoka Mwanza kwenda Dsm na pikipiki aina ya XL kwa ambao walishawai kutoboa route ndefu na toyo tupeane uzoefu na changamoto zake na zipi na ni mambo gani inatakiwa kuzingatia njiani! sababu huwa sipendelei usafiri wa public nilishazoea kutumia Gari binafsi ila kwa bahati mbaya Gari langu limepata hitilafu ambayo naona uwezekano wa kuifix na huu usawa wa tozo itanichukua mda kidogo, hebu nipeni uzoefu kwa mliowahi kutoboa na toyo masafa marefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwamba umezipunguza karibu nusu, au nyingine anapaa nini..600km
Angalia afya ya mwili na toyo
Tunantia moyokwamba umezipunguza karibu nusu, au nyingine anapaa nini..
kuna kitu anakitafuta..Tunantia moyo
Watu wanatoka Asia huko mpaka Africa kwa pikipiki ije iwe Mza to Dar?dar mwanza kwa pikipiki?
Mimi pikipiki mwisho km 40 tu.
Kwa mwendo wa xl ally's haoni ndani.anachotakiwa abebe hata kilo 100 za mchele ili apate balance.mm nilitoka mwanza kwenda nzega nilitumia masaa 2na nusu.gali iliyonipita ilikuwa moja tuu na ilikuwa na speed sijawahi ona maisha yangu yote.maana iliponipita ndani ya sekunde kama 6 barabala iliyonyooka ilikuwa haionekaniHiyo Barbara Umbali Wote Hujafikiria Chuma Za Hiyo Njia Ally's Stars, Zuberi, Frester, Unaweza Kufa Bure