Ninampango wa kutoka Mwanza kwenda Dar na Toyo XL Tupeane uzoefu kwa waliowahi kutoboa route ndefu za mikoa na TOYO

Honda XL 450 hiyo safari ya kawaida tu yupo mwamba alikua anazipakia hizo Jozi na truck wakifika Lusaka wanaendesha mpaka Tunduma sasa hivi ana truck la kubeba piki piki zake...ila piki piki zile kubwa wana nguo kabisaa mwingine alitoka Jozi na BMW mpaka daslm ile yenye 1200 CC alikua anatumia muda mchache kufika mpaka mmoja kwenda mwingine tofauti na gari..
 
mkuu hawa jamaa hawajui mziki wa XL wanavyoona toyo wanajua ni hivi viberiti boxer mimi nataka uzoefu tu ila uhakika wa kufika najua upo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila Kitu kinawezakana Nothing imposible angalia uimara wa pikipiki yako kuanzia mipira pamoja na full service ,plug ni muhimu sana kutia OG na japo mbili tatu kuchukua hakiba tena ziwe OG pamoja na oil hata kama lita mbili plus uwe na Road Map ujue unatoka wapi mpk wapi napunzika sio unakwenda tu kama zombi ni vyema wakati wa kuondoka ukaanzia kama saa 10 za alfajiri ikifika mida ya 6 mchana utakuwa uko mbali sana kama hali ya hewa si ya joto endelea na safari mchana kama uko fit kama ni joto punzika anza jioni ,na kila ukifika pahala pa kupunzika angalia piki piki yako angalia oil na vitu vyengine katika mwendo angalia sana temperature na fikiri hayo yanatosha na zaidi yategemea afya yako sijui uko fit kiasi gani .
 
ndugu XL mpyaa haijamaliza hata mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hawa jamaa pengine hawajui mziki wa XL450 wao wakiona toyo wanajua ni hivi viberiti boxer, na fekon hii mi mashine bei yake yenyewe unanunua vitz mbili na ballance ya mafuta inabaki tatzo watu washakalili wakiskia toyo waambie mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahsante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia tafuta hela ufix hyo gari yako achana na habari za Toyo safar hyo ni ndefu Sana hata Kama unataka kufanya utalii sikushauri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…