Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
hivi kuna faida gani kuhadahiwa na maumbile yenye mvuto halafu ukamshupalia mtu ambaye hana harufu hata ya kukupenda? Mimi wenzangu ninampenda yule tu anayenipenda.........mambo mengine hapana...............sitaki kuachiwa maumivu.............lol
na wewe unapenda anayekupenda au acha tu uumie kufurahisha macho yako kwa kudai uzuri wake ndiyo umekuponza..................................au twafanana........kwa maana ya kuwa......hauko tayari kuteseka kwa lionalo jicho lako na kuvutwa na huku moyo wake wajua hampo naye pamoja....mwenzio bado anaangazaangaza kwingineko lakini siyo kwako.....nipe khabari.................jianike hapa

Mimi kama wewe, nampenda anaye nipenda...asiye nimpenda, simpendi yeye na family yake na majirani zake :biggrin1:
Mimi napenda ninayempenda na kuvutiwa naye baasi suala la yeye kunipenda atajifunza akiwa na mimi na ata-regret kuchelewa kunipenda.
Mkuu, mambo ya "anayenipenda" kwa sasa ni Historia!
Sasa hivi ni kwa hela yako babaake!
Kwa lugha nyingine mkuu ni kwamba, hata kama ulikuwa huna harufu ya kumpenda lakini yeye akakudondokea then you'll learn to love her, right?
If that's so then you can learn how to make somebody learn to love you back, it's simple. Wanna know how??
Wait kitabu changu cha mapenzi "How to turn somebody into lovong you" kitatoka soon:target:
yeah...hakuna uhaja wa kuumiza kichwa na mtu ambaye unaona hana mwelekeo hata chembe......
hii ni kali.....yaani hata kama hakukubali basi utahangaika naye mpaka umwingize kingi..........................ipo kazi naona maumivu makali yanakusubiri.........
Better be alone than...........
Ndio mpango mzima!...sema wengine huwa hatupendi kivile_huwa tunatamani tu.
mpende akupendae asiekupenda muhonge..
Mimi napenda ninayempenda na kuvutiwa naye baasi suala la yeye kunipenda atajifunza akiwa na mimi na ata-regret kuchelewa kunipenda.
mpende akupendae asiekupenda muhonge..
jiwekee mipaka tamani yule ambaye anakutamani...........full stop na yule ambaye hakuhitaji kaa naye mbali ili asije kuachia maumivu....