Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #21
Nimeipenda hii na hasa ukiwa na hii mihela ya kifisadi i.e ukiwa mfanyakazi wa halmashauri ya Kishapu.
Maumivu utayatoa wapi wakati ulitamani tu....issue ni mbaya kama unapenda_hapo tarajia maumivu mkuu.
umhonge ili iwe nini?...............si atakuachia maumivu baadaye.....................huwezi kununua penzi la kweli linatakiwa lije lenyewe tu...............
Haya ndo madhara ya kuzaliwa Afrika kwenye wabaya wengi kuliko wazuri hili swala la kung'ang'ana kupenda usipopendeka kisa eti mzuri nikimpoteza sitapata mwingine wa levo zake linaleta manyanyaso sana kwenye mioyo ya watu.Ukitaka kuungana na mtoa maada hakikisha unaingia kwenye mahusiano bila shinikizo lolote la muönekano au uwezo.
Mkuu_siku hizi kama unataka penzi la kweli ni lazima ugharamie.
Ndg huu msimamo wako ni hatari sana, wengi walijaribu huu msimamo na kujikuta wanaachwa na maumivu makali baada ya kuinvest muda wao mwingi na rasilimali zao. Ni hatari sana maana ni kama probability!
hivi kuna faida gani kuhadahiwa na maumbile yenye mvuto halafu ukamshupalia mtu ambaye hana harufu hata ya kukupenda? Mimi wenzangu ninampenda yule tu anayenipenda.........mambo mengine hapana...............sitaki kuachiwa maumivu.............lol
na wewe unapenda anayekupenda au acha tu uumie kufurahisha macho yako kwa kudai uzuri wake ndiyo umekuponza..................................au twafanana........kwa maana ya kuwa......hauko tayari kuteseka kwa lionalo jicho lako na kuvutwa na huku moyo wake wajua hampo naye pamoja....mwenzio bado anaangazaangaza kwingineko lakini siyo kwako.....nipe khabari.................jianike hapa
ni vigumu kutofautisha kutamani na kupenda........................unapotamani ni rahisi kufikiria kuwa umependa...........
Mkuu, mambo ya "anayenipenda" kwa sasa ni Historia!
Sasa hivi ni kwa hela yako babaake!
Mimi kama wewe, nampenda anaye nipenda...asiye nimpenda, simpendi yeye na family yake na majirani zake :biggrin1:
Sisi wakongwe wa style hii ya mapenzi(ya kutamani na sio kupenda)ni rahisi sana kutofautisha kati ya kupenda na kutamani_ngumu kwenu nyie mnaopenda kweli kweli.............anyway usijali..jaribu utaipenda hii style...i guarantee kamwe hautaumizwa na kitu hii inaitwa mapenzi.
NB:Sio tabia njema_do it for......ahahahahahaaaaaaaaaaa aaa
penye udhia ukiweka rupia ujue hilo siyo penzi la kweli hata chembe.........
Mapenzi yamekua magumu Ruta.... It is so complicated. Je unapopenda inapotakiwa usipende? Ama je unapopenda mtu ambae huwezi kua nae? I don't think hilo ni sawa kila mara....
Unatakiwa ucheze muziki kutokana na midundo yake mkuu...kama wenyewe wanaamini bila rupia no love,then you go the same way...provide what they need.
kama ni shortie time hiyo is no love...................hiyo tunaita bora liende....................na penzi la kweli lazima liwe la kudumu.......
Yeah_by the way...short time is good na tamu..ahahahhahaaaaaaaaaaaaaa
hivi kuna faida gani kuhadahiwa na maumbile yenye mvuto halafu ukamshupalia mtu ambaye hana harufu hata ya kukupenda? Mimi wenzangu ninampenda yule tu anayenipenda.........mambo mengine hapana...............sitaki kuachiwa maumivu.............lol
na wewe unapenda anayekupenda au acha tu uumie kufurahisha macho yako kwa kudai uzuri wake ndiyo umekuponza..................................au twafanana........kwa maana ya kuwa......hauko tayari kuteseka kwa lionalo jicho lako na kuvutwa na huku moyo wake wajua hampo naye pamoja....mwenzio bado anaangazaangaza kwingineko lakini siyo kwako.....nipe khabari.................jianike hapa
dats true kabisa yan!, unaweza ukang'ang'ania dem pin ukajihangaisha kumbe mwenzako ndo analingia uzuri wake wala hakupendi kweli, anakuchora tu!