Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #61
Mmmmmmmmmh........!
ahahahahaaaaaaaaaaaaaa
Safi sana hapo ni kweli kabisa 😛oafazaa hilo ni swali zuri lakini ukweli wabakia palepale ya kuwa katika hao 10 haiwezekani wote wanipende sana..................lazima kuna mmoja atanipenda zaidi nami nitazama kwake..............
Safi sana hapo ni kweli kabisa 😛oa
Chezeiya mapenzi Rutashubanyuma moyo ukifunguka unazuia lakini wapi...Sasa sijui kosa ni la moyo au wewe mwenyewe...lolKwa hiyo the Finest uko tayari kuteswa na mtu ambaye hata moyo wake unajua haukuhitaji?
Chezeiya mapenzi Rutashubanyuma moyo ukifunguka unazuia lakini wapi...Sasa sijui kosa ni la moyo au wewe mwenyewe...lol
Yani we wacha tu hiyo ya kutamani ndo kawaida yangu natamania sana totoz haswa zile fig 8....lakini kuna madhara yake.ahahahahaahaaaaaaaaaaaaaaaaa_adopt my love style...you will enjoy.....wewe tamani tu wala ucpende.
Hapo ni green kabisa :A S shade:yeah ukitafakari sana mazungumzo na matendo yao utawajua 2 ni nini wanalenga..........baada ya hapo unafanya chaguo lako moja bila ya zengwe ukijua kuna vilio vitajitokeza...................life is not simple.......furaha ya mmoja ni kilio cha wengineo.......
hivi kuna faida gani kuhadahiwa na maumbile yenye mvuto halafu ukamshupalia mtu ambaye hana harufu hata ya kukupenda? Mimi wenzangu ninampenda yule tu anayenipenda.........mambo mengine hapana...............sitaki kuachiwa maumivu.............lol
na wewe unapenda anayekupenda au acha tu uumie kufurahisha macho yako kwa kudai uzuri wake ndiyo umekuponza..................................au twafanana........kwa maana ya kuwa......hauko tayari kuteseka kwa lionalo jicho lako na kuvutwa na huku moyo wake wajua hampo naye pamoja....mwenzio bado anaangazaangaza kwingineko lakini siyo kwako.....nipe khabari.................jianike hapa
Yani we wacha tu hiyo ya kutamani ndo kawaida yangu natamania sana totoz haswa zile fig 8....lakini kuna madhara yake.
Kuna siku nilikuwa na wife kwenye shoppping mall, nikaona kasichana kazuri basi nikawa na katazama, kumbe wife kaniona, alinipiga boom sitasahau maisha yangu...Wife alisema; kama bado unatamni wengine, yanini ulinioa...yani pale nilihisi dhambi kweli kweli sitasahau.
Hapo kwenye violet; wewe unasubiri upendwe ili upende? Utaulazimishaje moyo wako kumpenda mtu just because kakupenda? Na suppose ukipendwa na watatu?
Kingine, utajuaje kama mwenzako anakupenda??? (kuna mtu aliuliza hilo swali kwenye chit chat), what if ulichotafsiri upendo ni just admirations; au kukutamani au kutaka/penda ulicho nacho??? Huoni hapo utaumia zaidi. Na maybe, ulijifunza kumpenda huyo mtu kwa kujua anakupenda kumbe kulikuwa na attraction nyingine tofauti. Mimi nafikiri it is worth kupenda for the sake of it, na ikitokea mwisho ukatendwa; ndio sehemu ya maisha!
Hapo ni green kabisa
It's a cycle, my friend...Si unajua dunia inazunguka lazima watachukia tu, wao wameisha zowea kupenda, wewe ukipenda mmoja tu wao hawapendi vile...Si unajua kale kamsemo kao kanasema men always complain about women complaining, lazima watalalamika tu na kusema, kwanini unapenda sehemu moja tu...Si ajabu umerogwa :A S shade:fazaa lakini usifurahie kuwaachia maumivu wenzio...........
It's a cycle, my friend...Si unajua dunia inazunguka lazima watachukia tu, wao wameisha zowea kupenda, wewe ukipenda mmoja tu wao hawapendi vile...Si unajua kale kamsemo kao kanasema men always complain about women complaining, lazima watalalamika tu na kusema, kwanini unapenda sehemu moja tu...Si ajabu umerogwa