Ninampenda Jenifer Kanumba, nisaidieni jinsi ya kumpata

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Nilipo kuwa mtoto kipindi kile cha 2011 nilitokea kumpenda Saana uyu mtoto wa kike. Sasa nimekuwa, bado mapenzi yangu Yako pale pale i want to be with this Girl in my life.

Please Who can help me to get her phone number ni nani anaweza kunitafutia number zake au kuni unganisha naye? Please Nina zawadi ambayo nitampa kiasi cha Laki 3 shillings Kuni tafutia number za Jenifer Kanumba i want to try my luck maybe she can accepte me.

Screenshot_20211022_011908_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
 
Ni kawaida tu tatizo picha zinakuchanganya ila ni kawaida kuanzia mwili mpaka mpaka akili yake
 
Tafuta hela narudia tafuta heeela umpate selena gomez
Nilipo kuwa mtoto kipindi kile cha 2011 nilitokea kumpenda Saana uyu mtoto wa kike. Sasa nimekuwa, bado mapenzi yangu Yako pale pale i want to be with this Girl in my life.

Please Who can help me to get her phone number ni nani anaweza kunitafutia number zake au kuni unganisha naye? Please Nina zawadi ambayo nitampa kiasi cha Laki 3 shillings Kuni tafutia number za Jenifer Kanumba i want to try my luck maybe she can accepte me.

Katakuroga ako shauri yako umesahau ile muvi yake ya jeniph mchawi alivyokua anatisha?
 
Back
Top Bottom