kabila01 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2009 Posts 4,235 Reaction score 4,964 Oct 22, 2021 #21 Komaa DM utakuja nishukuru hiyo laki 3 uwe nayo mara 20 yake mbona utakatafuna sana tu mpaka utachoka mwenyewe. ila kama huna hela usijaribu kabisa
Komaa DM utakuja nishukuru hiyo laki 3 uwe nayo mara 20 yake mbona utakatafuna sana tu mpaka utachoka mwenyewe. ila kama huna hela usijaribu kabisa
Greg50 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 1,960 Reaction score 2,455 Oct 22, 2021 #22 Ongea na madalali
oyieko JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 308 Reaction score 372 Oct 22, 2021 #23 Ncha Kali said: Umeandika kwa uchungu sana kulingana na umri wako, hebu mzamie DM kule Instagram… utanishukuru baadaye. Click to expand... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ncha Kali said: Umeandika kwa uchungu sana kulingana na umri wako, hebu mzamie DM kule Instagram… utanishukuru baadaye. Click to expand... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Oct 22, 2021 #24 kabila01 said: Komaa DM utakuja nishukuru hiyo laki 3 uwe nayo mara 20 yake mbona utakatafuna sana tu mpaka utachoka mwenyewe. ila kama huna hela usijaribu kabisa Click to expand... Pesa iheshimiwe tafadhali.
kabila01 said: Komaa DM utakuja nishukuru hiyo laki 3 uwe nayo mara 20 yake mbona utakatafuna sana tu mpaka utachoka mwenyewe. ila kama huna hela usijaribu kabisa Click to expand... Pesa iheshimiwe tafadhali.
Stavros Myles JF-Expert Member Joined Jun 7, 2020 Posts 350 Reaction score 390 Oct 23, 2021 #25 Fuata ushauri wa mdau wa kwanza kwenye reply. Mfuate DM kwanini uteseke kiasi icho.😂😂😂😂