Ninampenda kweli huyu mwanaume

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
Naitaji ushauri wa dhati kutoka kwenu wadau

Nilikuwa na mpenzi niliekuwa nampenda sana sana lakini mwisho wa siku aliniacha na kufunga ndoa narafiki yangu kipenzi.

From there sijawai kuwa kwenye relationship seriously maana sijawai kumpenda mwanaume yeyote tena since then

Miaka imeenda (shukrani kwa JamiiForums na wadau wake ) nimeweza kusahau ile hali kidogo na kuanza maisha upya.

Nikaamua kuingia kwenye mahusiano, sijui tatizo ni mimi Kuna mwanaume kweli ninampenda lakini tunashindwakwenda mbele zaidi maana kiukweli simuamini. Sijawahi kumuhisi kitu basi tu sijiamini na mahusiano nae

Hatujawai kusex nahisi anaweza tukisex anaweza kuniacha tena jamani sijui nifanyeje nahisikumpoteza

Kwani jamani kusex ni lazima jamani? I wish angenielewa imani yangu ila nampenda kweli kweli
 
Kupenda manaake nini? tuanzie hapo kwanza
 
Smile hili game mdogo wangu gumu hasa pale mtu uliemwamini alikutenda. Hofu huwa ni nahuyu aweza nitenda, japo kiukweli wanaume wengi wakishaonja degree ya upendo inashuka badala ya kupanda, kaazi kweli2
 
Reactions: Sal
you are a captive of your own identity living in prison of your own creation!!!....the captivity of negativity is killing you!
what shall i do brother ?
 
Kama hofu yako ni kutendwa basi ili kumvutia pozi,
si ukanunue tu 'kitu' cha bandia wakati unamsubiria
kujua undani wake uwe unajisevia kwa kitu
bandia! Unaonaje madam!

Kuna mdada aliwahi kuniambia kuwa alitumia njia hii
na kweli ilimsaidia kwani mpenzi wake alijenga imani kwake na
akaamua kutangaza penzi kiukweli kweli hadi akamuoa.

Tatizo ni kwamba amejikuta muda mwingi
anawaza sana arudie zama za ile kitu bandia.

Ni ushauri tu lakini! changanya na zako na za mbayuwayu
 
Smile hili game mdogo wangu gumu hasa pale mtu uliemwamini alikutenda. Hofu huwa ni nahuyu aweza nitenda, japo kiukweli wanaume wengi wakishaonja degree ya upendo inashuka badala ya kupanda, kaazi kweli2
kweli sidhani kama nitaweza kuhandle iyo situation ya kuwa rejected tena.si nitakufa mimi jamani?
 
tuna miezi saba now

kama nimiezi saba sio ishu inamaana hujaweza kumchunguza maana hiyo ni miezi mingi sana na kama mtu ni kicheche lazima ungemnyaka tu vipi anauwezo lakini wakukuoa..
 

mimi sina shida ya sex?
 
kupeana ni kikoa bibiweeeeeee...km umempenda na unataka ile huduma mupemupe ila kwa step...ANGAZA KWANZA
na ukimpa leo usimpe tena kesho....umchek spid zake km anapunguza mawasiliano au ..na vtu vngnevyo pia umchek


usitumie hstoria kumhukumu kaka wa watu...km unamtaka,umempenda mpe haina haja ya kumnyima kisa umuamin et john alinifanya ivi......ukampe leo sawa mama/
tena venue ulipie wewe afu umwte as suprise...usiogope cost asi unajua jinsi ya kurudsha gharama?
utatumia lak ivi lakin unampiga mzinga wa laki9...hahah hahahahaaaaaaaaaaaaaaa😛eep:
 
kweli sidhani kama nitaweza kuhandle iyo situation ya kuwa rejected tena.si nitakufa mimi jamani?

kufa ni major
kuishi ni option


usiwe na mawazo negative...amin ni mtu mwema na hatafanya km alivyofanya yule kishundundu.....USIMUADHIBU kwa kosa si lake:hand:
 
kiukweli angaza tulienda siku nyingi.naogopa akija kuniacha tena si nitakufa mimi jamani?
 
kiukweli angaza tulienda siku nyingi.naogopa akija kuniacha tena si nitakufa mimi jamani?


usikumbatie mabaya wewe....funguka.tazama na amin mazuri.....na yatatokea...ukiwaza kutendwa tendwa then utatendwa kweli.........what u believe is what.....
 
Kama unampenda we mpende tu, kwani mi sioni tofauti ya kuachwa kabla ya ku sex na baada ya kusex, naamini kama unafanya kitu kwa upendo bila kulazimishwa huta umia hata kama akikuacha
 
Kwanza inabidi uanze kumwamini. Kwani ktk mahusiano yenu nadhani mko na muda sasa...kikubwa jua ya kwamba kusex si njia sahihi ya kujua kama anaupendo wa dhati kwako au wewe kwake ni matendo, nadhani mpk kufikia hapo mlipo kwa vyovyote vile amekidhi vigezo ambavyo wewe unavihitaji hivyo basi kikubwa mwamini then songa mbele, lakini Mungu nae apewe nafasi kubwa ktk hilo. Barikiwa sana!


Love and compassion are necessities, not luxuries. Without them humanity cannot survive. ....Dalai Lama



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…