Haha!Umenikumbusha PRISON BREAK.Maneno ya Theodore Bagwell a.k.a T-Bag!you are a captive of your own identity living in prison of your own creation!!!....the captivity of negativity is killing you!
Smile mdogo wangu nakusihi sana kataa kabisa, usikubali upotoshaji wa Kongosho kabisaaaaaadah usiseme hivo kongosho? nitamegwa na wangapi sasa?
Smile au unahofia ukimpa utahisi Vitundu kama net - loltuna miezi saba now
naona mjadala mzima una-revolve around kutoa au kutotoa 'k' ya Smile.... sijui jamaa akimega anaondoka nayo... angalia usijemjengea jamaa impression kwamba una 'k' yenye viwango ndiyo maana unaibania halafu siku ya D-day akakuta kumbe ni mdebwedo like the rest of them...lazima akutose
Naitaji ushauri wa dhati kutoka kwenu wadau
Nilikuwa na mpenzi niliekuwa nampenda sana sana lakini mwisho wa siku aliniacha na kufunga ndoa narafiki yangu kipenzi.
From there sijawai kuwa kwenye relationship seriously maana sijawai kumpenda mwanaume yeyote tena since then
Miaka imeenda (shukrani kwa JamiiForums na wadau wake ) nimeweza kusahau ile hali kidogo na kuanza maisha upya.
Nikaamua kuingia kwenye mahusiano, sijui tatizo ni mimi Kuna mwanaume kweli ninampenda lakini tunashindwakwenda mbele zaidi maana kiukweli simuamini. Sijawahi kumuhisi kitu basi tu sijiamini na mahusiano nae
Hatujawai kusex nahisi anaweza tukisex anaweza kuniacha tena jamani sijui nifanyeje nahisikumpoteza
Kwani jamani kusex ni lazima jamani? I wish angenielewa imani yangu ila nampenda kweli kweli
kiukweli angaza tulienda siku nyingi.naogopa akija kuniacha tena si nitakufa mimi jamani?
nemic4u 'k' mdebwedo ni ile ambayo imekuwa used mpaka ikapoteza elasticity yake... kwa jina lingine zinaitwa 'k' mbendembende teh teh teh ( usini-quote lakini)