Ninampenda kweli huyu mwanaume

Kweli mwanume akiamua kukupaisha atakupeka mpaka peponi na utaiona dunia yote ya mapenzi iko ktk kiganja chako, na akikushusha atakushusha mpaka jehanam na kukutupa hapo. Kikubwa sema na roho yako fanya kitu ile roho nataka.
 
Mbona hata wakina dada wengine wapo na tabia hizo? sio wanamume tu
 
Ukimpaaa atalewa na ukimnyimaa zulumaa. Source: nazani ni Ray C

Wewe jitose tu bwana statistics zinasema kila ukimwagwa sana ndio unakuwa kungwi bora
 
Mbona una wasiwasi kwamba ukimpa atakimbia? Au ushajua matatizo yako? Ebu weka wazi kwanin ukimpa atakimbia?
 
asante kwa ushauri mkuu,tatizo analalamika anadai kuwa simpendi
 
Ukimpaaa atalewa na ukimnyimaa zulumaa. Source: nazani ni Ray C

Wewe jitose tu bwana statistics zinasema kila ukimwagwa sana ndio unakuwa kungwi bora
mmmmh acha kunipotosha kaka
 
Kweli mwanume akiamua kukupaisha atakupeka mpaka peponi na utaiona dunia yote ya mapenzi iko ktk kiganja chako, na akikushusha atakushusha mpaka jehanam na kukutupa hapo. Kikubwa sema na roho yako fanya kitu ile roho nataka.
acha tu mwenzangu,their evil
 
mmmmh acha kunipotosha kaka
Hizi mambo ni complicated smile bana! ukichukua tahazari sana basi zitakutia wazimu tu. Lakini amini kitu kimoja, kama amekupenda kweli kweli basi atasubiri mpaka ndoa ilimradi tu usimuoneshe kwamba unamsubirisha kwa kumkomoa au akahisi unaringa, namaanisha ukuwe na sababu za msingi za kumsubirisha.
 
kweli aumpend .....love is power..ungempa wewe nguvu ya love ingezidi ya wasiwasi ulionaoso kitambo ungekuwa ushampa....mashaka meeeeeeeeeeeeeeeeeeeng seems aujamkubali,mpenda.....jiachie dada:violin:
kweli nampenda sana sana i wish sijui nimfanyie nini anielewe
 
kweli aumpend .....love is power..ungempa wewe nguvu ya love ingezidi ya wasiwasi ulionaoso kitambo ungekuwa ushampa....mashaka meeeeeeeeeeeeeeeeeeeng seems aujamkubali,mpenda.....jiachie dada:violin:
Rose unantamanisha, nitareport kwa mods
 
what shall i do brother ?
funguka bhana, kwa nini umuadhibu kwa kosa alolifanya mtu mwingine. au una kale ka usemi kenu et " wanaume wote mama yao mmoja, so wanafanana" usimfanyie hvo, (af vp yule ulosema anakunyima raha wakat wa lunch na brkfast, ulishamwambia linalokusibu juu yakea?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…