Ninampenda kweli huyu mwanaume

duh, smile na umri huu unampa mtoto wamwanamke mwenzio upendo wa wapendwa?
At this era? Ambako kuna mwingine atampa kila atakacho?

Hivi unadhani mwanamme ataishi kwa mkate tu?

Na ukimpa unahisi itaisha?
Na hata kama akikuacha maisha hayatasonga?

Kwa sababu sasa hujampa, lakini unahisi he is slipping on your own hands.

Mmmh, kocha mwenyewe, unataka tukupangie nani acheze?
Utafukuzwa ukocha, waulize washabiki wa chesiii.

Pole lakini!
 
usiamini katika kusex, yaani usitumie sex kama silaha ya wewe kuolewa. Cha muhimu ni kuaminiana, kupendana na kujaliana. Usimuhukumu kwa makosa ya Mtu mwingine. Mfanye asijute kuwa nawe. Hakikisha unamuliwaza hadi awe anakumiss asipokuona. Nakutaka mafanikio mema na baraka za mwenyezi ili uendelee kuinjoy maisha ndani ya malavidavi ya huyo umpendae.
 
ngoja nikuulize.....wasi wasi wako uko wapi? yaani naamanisha HOFU KUU ni ipi kwako....kwa maneno mengine kwa nini humuamini..tuanzie hapo then ntakusaidia
ananipenda kama ninavompenda kweli? hatoniacha? i wish nipasue moyo wake nione
 
dah usiseme hivo kongosho? nitamegwa na wangapi sasa?
 
ananipenda kama ninavompenda kweli? hatoniacha? i wish nipasue moyo wake nione

kwa nini unawaza kuachwa? negativity katika jambo lolote ni kitu kibaya sana....think positive then furahia raha ya kupendwa
 
sasa utakaaje bila kumhug mpenzi wako?
 

Usimbanie bana, kama kweli unampenda mpe tu, itakusaida na wewe kumjua vizuri. Kama ana kisigara je itakuaje!!!.
 
kwa nini unawaza kuachwa? negativity katika jambo lolote ni kitu kibaya sana....think positive then furahia raha ya kupendwa
i wish ningetoka katika kifungo iki i wish
 
komredi mi nikakamate kale ulikosema kama anampnda atasuibiri ndoa



Yep nimekupata mkuu, lakini nilisema ile kutokana na situation ya kwamba smile bado mzito kutoa mzigo, sasa mantiki yangu ni kwamba ajaribu kumwelewesha mjamaa ili waelewane na kama jamaa kapenda kweli na atamwelewa smile basi anaweza akasubiria mpaka ndoa, hii nimejibu speshel kwa situation ya smile tu ila kwa upande wa penzi in general basi penzi ni makubaliano tu mkihisi mnakubaliana kumegana kabla kuoana au hammegani mpaka kiama au mtamegana kwa mtindo wa disco la chura yote ni mapenzi tu.
 
sasa utakaaje bila kumhug mpenzi wako?
Sasa njemba ushaiweka miezi saba bila ile kitu halaf unakwenda kuihug na zile ndubwana kifuani zinamchomachoma wewe unategemea nini? Smile kumbe hauko serious bana. Mimi nikikaa miezi saba halaf ukija kunihug halaf usinipe nakubaka bana
 
what shall i do brother ?
we mpe bhana, kwa nini unamuadhimu kwa kosa la mtu mwingine? au unafuata kale ka usemi kenu et "wanaume wote ni watoto wa mama mmoja, so wanafanana" usimfanyie hvo. (af yule kaka anayekunyima raha wakati wa lunch na breakfast ushamwambia yanayokusibu juu yake?)
 
mpe mpe mpe mpe tratiiiiiiiiiiiiibuuuu mpatieeeeeeeeeeeee halafu unamcheck kama anafaaa ama anafaidi tu. kupeana ni moja ya kupendana mamangu
 
i wish ningetoka katika kifungo iki i wish
okay sa hivi nimeanza kukuelewa, yaani we sio kwamba hupendi kumpa tundi ila una hofu ya kuachwa? kwa hiyo hapa unatakiwa kuomba ushauri wa jinsi ya kuondoa hiyo hofu,
 
Usimbanie bana, kama kweli unampenda mpe tu, itakusaida na wewe kumjua vizuri. Kama ana kisigara je itakuaje!!!.
nitamvumilia tu hivohivo
 
okay sa hivi nimeanza kukuelewa, yaani we sio kwamba hupendi kumpa tundi ila una hofu ya kuachwa? kwa hiyo hapa unatakiwa kuomba ushauri wa jinsi ya kuondoa hiyo hofu,
yanni i wish annikubali jinsi nilivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…