[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwenzio anapenda wazee na wewe unaonekana mbichii hata ukoko wa pua haujakuisha.
KumbeeeeehhhhUna uhakika na maneno yako shem?
Kaolewa kwa harusi ipi?!
Kiru
Mama tukinao mnamjaza masifa asiokuwa nayo jamaa
Money Penny Ebu Weka Tunyama Hapa Plz Tupate Kuelewa Juu Ya HiliUna uhakika na maneno yako shem?
Kaolewa kwa harusi ipi?!
Kiru
Mama tukinao mnamjaza masifa asiokuwa nayo jamaa
Huyu unaemwongelea muwowe tu atulie
Maana huku mtaani keshapewa jina la mama tukinao wa jf
Kichaafulani Mama Sabrina 50thebe mahondaw Smart911 muje mumwozeshe dadaenu mama tukinao wa jf
Nyie watu mna vituko sana humu ndaniHuyu unaemwongelea muwowe tu atulie
Maana huku mtaani keshapewa jina la mama tukinao wa jf
Kichaafulani Mama Sabrina 50thebe mahondaw Smart911 muje mumwozeshe dadaenu mama tukinao wa jf