Ninampitisha rasmi SANCHI kama mrithi wa MASOGANGE

Subir kwanza tupige kura usiwe na haraka ...sasa sanchi umemchaguaje haraka haraka hivi subir tulinganishe.
Jamaa ana haraka sana, kama sio kuburuzana ni nini huko?! Hata kupiga kura kwenye haya mambo bado anataka tuandamane?! Tunachotaka kusema lazima tulinganishe na wengine, tena tumebarikiwa kuwa nawo wengi tu...
 
Waleteni hao wengine tuwaone, kama hakuna sanchi anatosha!
 
Acha utani mkuu, marehemu alikuwa hagusi huo moto, superstars wa bongo Hakuna anamfikia huyo dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…