Ninamtaka ila Naogopa!

Kwani ukioa hisia zakupenda zinakufa??kwa taarifa mpenzi niyule uliyenaye ninani hajawahi kusalti?

Yaah, we mtokee kula ile unataka mara mbili hivi afu potea, maana ukinogewa tu hapo ndio matatizo yanapoanziaga...:rip:
 
hivi hiyo avatar yako ilipita photoshop au kwelikuna mtu kama huyo?:focus: you've got SWAGA (something we africans got)
 
Yeye anabwana wake wanaishi ila wenye maisha mazuri mimi nimeoa!!


yaani hapo ndio umetibua kila kitu! kumbe ndio maana unaogopa kumwambia, my broda, dhamira yako imeshakupa jibu zuri sana la hilo swali unalouliza, achana nae bana!
 
kama siwezi sema direct mimi nafanyaga hivi;
najenga mazoea....... kisha ananizoea....... naonyesha kumjali........ kuliko mtu yeyote...... katika dunia hii....... kama vipi unaanza....... kutoa out mara sms mara simu kwa wingi.
at last onyesha kila dalili ya kuwa unampenda na yote yaliyo sawa na hayo.

mwisho wa siku unazama nae gheto au gesti hata bila kusema I LOVE U,

ONYO: kumbuka atazuga kuvua chupi kwa muda lakini mwishowe utammega kiulaini.
 
unameheshimu?mngekuwa mnatumiana email za majambozi?
ungempenda kweli usingeogopa kumwambia..usingejiuliza mara mbili as long as na yeye ashaonyesha dalili chanya......
mtokee mwaya akikupiga kibut nenda kanisani kaungame dhambi then utakuwa mpya tena!!!!
 

nyie ndio mnaechukua bwana za wa2.
 
Never Be Afraid To Say what you feel, You can only Die once!!!

tehe! sasa mkuu mbona unapingana na signature yako hapo? ila mi nakushauri mwambie tu na uwe na dhamira nzuri naye ila kama unataka kumega kisela hiyo sikushauri
 
Kwani ukioa hisia zakupenda zinakufa??kwa taarifa mpenzi niyule uliyenaye ninani hajawahi kusalti?

Una tatizo la pepo wa uzinzi huwezi tamani mke wa mwenzio, unaomba ushauri gani wa kutenda dhambiiiiiiiiiii, kimbia mbali na mke wa mtu, ndoa na iheshimiwe na watu wote. Dhambi inakunyemelea ndugu. Amri ya Mungu usimtamani mwanamke asiye mkeo.
 

Mi Ninapoona mwanaume anasema anaogopa kutongoza napata hasira.........
 
Kwanza we unaonekana mtu mwenye maadili sana yani kipindi chote hicho hujampitia tu huyo mdada?...kama hujui ni kwamba wapo wanaomkaza vizuri tu na wengine amekutana nao hata baada ya kukutana na wewe (u sharp wao) so we mface tu mtemee madini ni rahisi yani natamani ungeniamini ukanipa contact zake na kwa uaminifu kabisa nikuletee hadi guest
 
Wacha wewe!! Kakae na mkeo mpambe awe mrembo kama huyo unayemtamani then mpe tuition ya unachotaka akufanyie then kuleni pwiso mpaka kuche!!
 
hivi hiyo avatar yako ilipita photoshop au kwelikuna mtu kama huyo?:focus: you've got SWAGA (something we africans got)

We vipi niende photo lab kufanya nini nichakachue sura yangu??Ndo mimi mzizi!
 
Yeye anabwana wake wanaishi ila wenye maisha mazuri mimi nimeoa!!
kama umeosa acha kabisa, Mwone tu kama alivyo. We bwana si vizuri kabisa, jiepushe na tamaa
 

Unajifanya the dating guru a.k.a Scot Mckay sio?Ipo siku utaacha hata kwenda kazini kwa aibu na maumivu.Cha mtu mavi wewe.
 
kama umeosa acha kabisa, Mwone tu kama alivyo. We bwana si vizuri kabisa, jiepushe na tamaa

Hapo kwenye nyekundu umetumia tafsida gani??umeniacha!
 
hIZO EMAIL ZA MAJAMBOZ NI ZIP NA KWA NINI UNAMUOGOPA/
 
My worrys wat if??akisema sikukutegeme utaniambia maneno hayo??unatokea mlango gani??hakuna rangi utaachaona!:A S 2152:

Si unamwambia na wewe hukutegemea kama ungejihisi hivyo ila ndo imetokea ufanyeje huku unaminya minya mkono wake
At end of the day unakula ngozi
 
Huyo mnayeheshimiana ndiyo pooooa. mwendee polepole ila kwa ufasaha. jenga mazingira akuamini kuwa wewe ni mtu muhimu kwakwe. kama unavijisenti ahhhhh hapo ndiyo kwake ila usitumie za mtaji huo ni mwiko. kwa kuwa umesema mnawasiliana kwa e-mail hapo ndiyo kwake, ingizaingiza utani pamoja na msg za kiaina ili upime kina cha maji. kwa waliobobea hiyo sio ishue yani mtaa wa kwanza wa pili mnyama chali.😛eep:😛eace:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…