Ningekua kati ya wapiga kura nisinge jiuliza ningempigia Ally Mayai TembeleNinamuunga Mkono Ally Mayai Tembele kugombea Nafasi ya juu kabisa katika Shirikisho la Mpira Tanzania. Ni wakati sasa wa kuongozwa na mtu wa Mpira, mtu aliyecheza Mpira, Mtu anayejua Falsafa Sahihi ya Mpira wa Ndani na Nje, Mtu mwenye Uzalendo na Uchungu na Soka Letu, Lakini zaidi ya yote ni Msomi. Wajumbe msituangushe katika hili.
Nalo neno ila yuko vizuri Tembele.Ana hela???
turudishieni mpira wetu...TWENDE NA DAMU CHANGA MUDA NI SASA KWA MAPINDUZI YA SOKA LETU,, HAWA WAZEE WASHATUCHOSHANinamuunga Mkono Ally Mayai Tembele kugombea Nafasi ya juu kabisa katika Shirikisho la Mpira Tanzania. Ni wakati sasa wa kuongozwa na mtu wa Mpira, mtu aliyecheza Mpira, Mtu anayejua Falsafa Sahihi ya Mpira wa Ndani na Nje, Mtu mwenye Uzalendo na Uchungu na Soka Letu, Lakini zaidi ya yote ni Msomi. Wajumbe msituangushe katika hili.
Chukueni silaha muingie msituniturudishieni mpira wetu...TWENDE NA DAMU CHANGA MUDA NI SASA KWA MAPINDUZI YA SOKA LETU,, HAWA WAZEE WASHATUCHOSHA
Wabongo tunakosea sana na kwa namna hii soka letu haliwez kukuwa hata sku moja. Watanzania wengi wanaamini kila aliecheza mpira bas anajua kuongoza mpira. Mpira ni industry kama zilivyo industry nyingne sio lazima kiongoz wa juu awe amecheza mpira, mfano kampun ya simu sio lazima CEO wa hyo kampuni awe telecoms Engineer, hapo tunakosea.Ninamuunga Mkono Ally Mayai Tembele kugombea Nafasi ya juu kabisa katika Shirikisho la Mpira Tanzania. Ni wakati sasa wa kuongozwa na mtu wa Mpira, mtu aliyecheza Mpira, Mtu anayejua Falsafa Sahihi ya Mpira wa Ndani na Nje, Mtu mwenye Uzalendo na Uchungu na Soka Letu, Lakini zaidi ya yote ni Msomi. Wajumbe msituangushe katika hili.