Ninamuunga Mkono Ally Mayai Tembele agombee TFF

Kwa uwezo gani alionao? Maana haendi kucheza mpira bali anaenda kuongoza je? Anauwezo gani kiuongozi?
Vision,focused na Mipango yake kimpira unaiona kabisa anaweza kutupigisha hatua Fulani toka tulipo leo
 
Tembele ni mgombea sahihi kwa Uenyekiti wa TFF .
Kuchambua mpira (football pundits) na kuongoza mpira (football management) ni vitu tofauti.
Neville alikuwa mchambuzi mzuri sana akaenda Seville kufundisha.Kilichomkuta wengi ni mashahidi.
 
Tatizo kubwa ni wale waliojipangia safu zao za wapiga kura. Malinzi alianza muda mrefu sana kujihakikishia na kulinda nafasi yake. Sijui kama dogo ataweza ingawa wengi tunamsapoti
 
Kuchambua mpira (football pundits) na kuongoza mpira (football management) ni vitu tofauti.
Neville alikuwa mchambuzi mzuri sana akaenda Seville kufundisha.Kilichomkuta wengi ni mashahidi.
Mkuu ipogolo hawa watu sio kwamba hawajui au kuona mambo mazuri ya Malinzi bali ni chuki,wivu,ukabila na husda tuu kwa Malinzi. Ukiwauliza embu tupeni historia au uzoefu wa Mayay kwenye uongozi wowote ule achana na mpira hawakupi jibu wanaishia kusema ooh alikuwa mchezaji hodari na kapteni wa Yanga na Taifa Stars. Umetoa mfano mzuir Neville alipoenda Valencia kidogo tuu timu ishuke daraja kama wasingemtimua.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kwa uwezo gani alionao? Maana haendi kucheza mpira bali anaenda kuongoza je? Anauwezo gani kiuongozi?
Mayai ni msomi

Kasoma elimu dunia pia kasomea uongozi wa mpira

Haya mambo ya experience huwa siyapendi kabisa ni ujinga tu

Give him chance na utaona uwezo wake
 
Mayai ni msomi

Kasoma elimu dunia pia kasomea uongozi wa mpira

Haya mambo ya experience huwa siyapendi kabisa ni ujinga tu

Give him chance na utaona uwezo wake
Certificate ya Biashara kutoka hapo CBE nae anaingizwa kwenye kundi la Wasomi?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Mayai ni msomi

Kasoma elimu dunia pia kasomea uongozi wa mpira

Haya mambo ya experience huwa siyapendi kabisa ni ujinga tu

Give him chance na utaona uwezo wake
Kwa hiyo mnapaona pale ofisi za TFF ndio mahali pakufanyia field na majaribio ya uongozi?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Tungependa kujua kidogo historia yake katika uongozi , hasa wa soka .
 
Kuchmbua mpira kwenye TV ni tofauti na kuongoza taasisi kubwa ya mpira.

Kuchambua na kuongoza ni vitu viwili tofauti.

Mayai anafaa kuchambua sio kuongoza taasisi kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…