Ninamzimikia kinoma Salama Jabir, natafuta mshenga humu, nichagulieni nimtume kwao moja kwa moja

Ninamzimikia kinoma Salama Jabir, natafuta mshenga humu, nichagulieni nimtume kwao moja kwa moja

kaseva

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Posts
473
Reaction score
305
Ebu chekini picha za mtoto alivyo mkali kinoma!!!
Sijui nimtume naaani????

salama3.png


salama2.png


salama1.png
 

Attachments

  • Screenshot_20170530-155725.png
    Screenshot_20170530-155725.png
    188 KB · Views: 88
Mpwa wake mkubwa mie.
Lete Posa mwanangu.
Jambo la kheri hili.
 
Enzi zile nilimpendaga sana huyu dada!!! Ilikua nikiona ata picha yake tu mie nachanganyikiwa [emoji7][emoji7][emoji7]
Bado namkubali ila sio kama zamani
 
Back
Top Bottom