Ninamzimikia kinoma Salama Jabir, natafuta mshenga humu, nichagulieni nimtume kwao moja kwa moja

Attachments

  • Screenshot_20170530-155725.png
    188 KB · Views: 88
Mpwa wake mkubwa mie.
Lete Posa mwanangu.
Jambo la kheri hili.
 
sory alafu mwenyewe yuko simple sana sasa watu wanamsemea mabaya sana lohhhhh
Sure mkuu kabisa mi nashangaa tu jamani jamaa wa wivu kishenzi
 
Enzi zile nilimpendaga sana huyu dada!!! Ilikua nikiona ata picha yake tu mie nachanganyikiwa [emoji7][emoji7][emoji7]
Bado namkubali ila sio kama zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…