Ninamzimikia kinoma Salama Jabir, natafuta mshenga humu, nichagulieni nimtume kwao moja kwa moja

[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] bado unanifatilia tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Yani baada ya kuongelewa na mimi nimeanza notice hahaha huwa naangalia kama kweli umepost ili nimalizie hiyo research
 
AY amepiga sana iyo toto, nahisi mpaka leo yeye ndio boy pekee ambaye Salama kafa kaoza
Ya kweli hayo? Nilichowahi kusikia Fid aliwahi kumgonga wakati anafanya Planet Bongo na Fid kipindi hicho bonge la hardcore
 
Ya kweli hayo? Nilichowahi kusikia Fid aliwahi kumgonga wakati anafanya Planet Bongo na Fid kipindi hicho bonge la hardcore
Kwanini unanifanyia makusudi? Nina wivu ujue
 
Sina uhakika kama hamjafikia kiwango cha unyanya paa! Utu ulindwe.
 
Oi huyo ni kibibi aseeeeeee bora umfukuzie hamisa mobeto maana yeye sasa ni pesa tuu
 
mtume yesu ila akienda kwa salama czan kma atarud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…