Ninamzimikia kinoma Salama Jabir, natafuta mshenga humu, nichagulieni nimtume kwao moja kwa moja

Naona unataka Watoto wafupi...

Huyo Dada nasikia ni msgaj so ujiandae finger utakapo m do
 
Uende na KY yako kabisa, na ujiandae kupoteza marinda
 
Enzi zile nilimpendaga sana huyu dada!!! Ilikua nikiona ata picha yake tu mie nachanganyikiwa [emoji7][emoji7][emoji7]
Bado namkubali ila sio kama zamani

Mweh,.. Usijekua unataka kujaribu na ulesbian manake siku izi,..ooh!?
 
wacheki hawa watu nadhani watakufaa sana, Joseverest ama Daby
 
Sijaona huo u exception wake.. Sema tu ndo hivo ukipenda chongo
 
Nafikiri unatafuta wale wataalam Wa KUKASHIFU WAANZE KUMZODOA DADA WA WATU MASKINI ! subiri maana rasharasha zimeshaanza "UNA UMRI GANI'' ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…